Jeneza la ajabu lililokaa chini ya ardhi zaidi ya miaka 2,000 lafunuliwa (+Picha) at July 21, 2018 Wiki tatu zilizopita, wanaakiolojia nchini Misri waligundua jeneza kubwa lililoundwa kwa mawe magumu ya matale (granite) ya rangi nyeusi k...